NIKUFAHAMU LYRICS by Evelyn Wanjiru.
”Nikufahamu zaidi Bwana,
Nikujue zaidi Yesu,
Nikufahamu zaidi Yahwe,
Nikuishie milele Bwana
-Nataka Nitembee na wewe wakati wote,
Nitembee kwa Nuru yako Baba,
Nishirikiane na wewe kwa kila jambo,
Ongoza hatua zangu ewe Baba,
Ongoza hatua hatua hatua zangu
Wewe ni Mume wa Wajane
Baba wa Yatima,
mfariji wa waliofiwa,
Mtetezi wa wanyonge,
Huwaponya waliovunjwa mioyo mioyo,
Nakuziganga Jeraha zao,baba
Hao wote tegemeo lao ni wewe baba,
Ndipo wanaseeeeema
Nikufahamu zaidi Bwana,
Nikujue zaidi Yesu,
Nikufahamu zaidi Yahwe
Nikuishie milele Bwana…
Nikufahamu
Kama Musa nionyeshe njia zako
Nikujue
Sio matendo pekee
Nikae miguuni pako
Nikufahamu
Nikujue….”’
Tagged Evelyn Wanjiru songs